Kikenyah Kuu, au Kikenyah tu, ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia na Indonesia inayozungumzwa na Wakenyah kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kikenyah nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu 40,000; idadi ya wasemaji wa Kikenyah nchini Indonesia ni 12,000 (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikenyah iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikenyah Kuu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.