Kikenyah cha Wahau

(Elekezwa kutoka Kikenyah ya Wahau)

Kikenyah ya Wahau (pia Kilebu'-Kulit) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia na Indonesia inayozungumzwa na Wakenyah kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikenyah ya Wahau imehesabiwa kuwa watu 8000 nchini Indonesia na 1000 nchini Malaysia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikenyah ya Wahau iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikenyah cha Wahau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.