Kikharia
Kikharia ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Wakharia. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikharia imehesabiwa kuwa watu 240,000 nchini Uhindi na watu 1580 nchini Nepal. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikharia iko katika kundi la Kimunda.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikharia kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikharia Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikharia katika Glottolog
- lugha ya Kikharia kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikharia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |