Kikhasi ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wakhasi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikhasi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 843,000. Idadi ya wasemaji nchini Bangladesh haijulikani lakini ni wachache sana tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhasi iko katika kundi la Kimon-Khmer.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhasi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.