Kikhisa
Kikhisa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire na Burkina Faso inayozungumzwa na Wakhisa. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikhisa imehesabiwa kuwa watu 5000 nchini Cote d'Ivoire na watu 3000 nchini Burkina. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikhisa iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikhisa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikhisa Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- http://www.ethnologue.com/language/kqm
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikhisa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |