Kikhmu
Kikhmu ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos, Vietnam, Uthai na China inayozungumzwa na Wakhmu. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kikhmu nchini Laos imehesabiwa kuwa watu 614,000. Pia kuna wasemaji 56,500 nchini Vietnam (1999), 31,400 nchini Uthai (2000) na 1600 nchini China (1990). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikhmu iko katika kundi la Kikhmuiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikhmu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikhmu Ilihifadhiwa 11 Agosti 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikhmu katika Glottolog
- lugha ya Kikhmu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikhmu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |