Kikhuen ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uchina na Laos inayozungumzwa na Wakhuen. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikhuen nchini Laos imehesabiwa kuwa watu 8000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Uchina (1993). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhuen iko katika kundi la Kikhmuiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhuen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.