Kikim-Mun
Kikim-Mun ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Vietnam, Uchina na Laos inayozungumzwa na Wayao. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kikim-Mun nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 170,000. Pia kuna wasemaji 200,000 nchini Uchina (1995) na 4500 nchini Laos (1995). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikim-Mun iko katika kundi la Kimian-Jin.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikim-Mun kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikim-Mun Ilihifadhiwa 8 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikim-Mun katika Glottolog
- lugha ya Kikim-Mun kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikim-Mun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |