Kikimbu
Kikimbu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakimbu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikimbu imehesabiwa kuwa watu 78,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikimbu iko katika kundi la F20.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikimbu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikimbu Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikimbu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kiv
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Ilihifadhiwa 4 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kikimbu)
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Busse, Joseph. 1952/53. "Kimbu-Sprachproben". Afrika und Übersee, 37 (4), uk.183-186.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikimbu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |