Kikintaq ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wakintaq. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kikintaq imehesabiwa kuwa watu 110 tu. Pia kuna angalao msemaji mmoja nchini Uthai (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikintaq iko katika kundi la Kiaslian.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikintaq kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.