Kikiribati ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kiribati inayozungumzwa na Wakiribati ambapo ni lugha rasmi ya taifa. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikiribati imehesabiwa kuwa watu 58,300; tena kuna wasemaji 5300 visiwani kwa Fiji (1988), 4870 kwenye Visiwa vya Solomon (1999), na 870 visiwani kwa Tuvalu (1987). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikiribati iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikiribati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.