Kikoda ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wakoda. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikoda nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 43,000. Pia kuna wasemaji 1300 nchini Bangladesh (2005). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikoda iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.