Kikokata

lugha ya asili ya Australia

Kikokata (au Kikukarta) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakokata katika jimbo la Australia Kusini. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikokata 19 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikokata kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikokata kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.