Kikokola ni lugha ya Kibantu nchini Malawi inayozungumzwa na Wakokola. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikokola nchini Malawi imehesabiwa kuwa watu 200,000. Pia kuna wasemaji 80,000 nchini Msumbiji. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikokola iko katika kundi la P30.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikokola kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.