Kikoli-Kachi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Pakistan inayozungumzwa na Wakoli. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikoli-Kachi imehesabiwa kuwa watu 400,000 nchini Uhindi na watu 170,000 nchini Pakistan. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikoli-Kachi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoli-Kachi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.