Kikoli-Wadiyara ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Pakistan inayozungumzwa na Wakoli. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikoli-Wadiyara nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 404,000. Pia kuna wasemaji 175,000 nchini Pakistan (1998). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikoli-Wadiyara iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoli-Wadiyara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.