Kikonkani ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakonkani. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikonkani nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 2,420,000. Kuna wasemaji wachache tu nje ya Uhindi, chini ya watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikonkani iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikonkani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.