Kikonongo
Kikonongo ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakonongo. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikonongo imehesabiwa kuwa watu 51,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikonongo iko katika kundi la F20. Wengine wanaiangalia kama lahaja ya Kinyamwezi tu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikonongo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikonongo Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikonongo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kcz
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikonongo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |