Kikonzo
Kikonzo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na [[Wakonzowanaokaa mpakani na Rwanda. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikonzo iko katika kundi la J40.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikonzo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikonzo Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikonzo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/koo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikonzo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |