Kikorku ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakorku. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikorku imehesabiwa kuwa watu 574,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikorku iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikorku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.