Kikoromfe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Mali inayozungumzwa na Wakoromfe. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikoromfe nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 196,000. Pia kuna wasemaji 2000 nchini Mali. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikoromfe iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoromfe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.