Kikuhane
(Elekezwa kutoka Kikuhane (lugha))
Kikuhane (pia Kisubiya) ni lugha ya Kibantu nchini Namibia, Botswana na Zambia inayozungumzwa na Wakuhane. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikuhane nchini Namibia imehesabiwa kuwa watu 26,600. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Botswana (2006) na wasemaji 1350 nchini Zambia (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikuhane iko katika kundi la K40.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikuhane kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikuhane Archived 19 Novemba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikuhane katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/sbs
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikuhane kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |