Kikuku-Mu'inh

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kikuku-Mu'inh kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakuku katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikuku-Mu'inh, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuku-Mu'inh kiko katika kundi la Kipaman.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikuku-Mu'inh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.