Kikuku-Muminh
lugha ya asili ya Australia
Kikuku-Muminh ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakuku katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kikuku-Muminh 20 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuku-Muminh kiko katika kundi la Kipaman.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikuku-Muminh kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikuku-Muminh Ilihifadhiwa 4 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikuku-Muminh katika Glottolog
- lugha ya Kikuku-Muminh katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikuku-Muminh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |