Kikuku-Uwanh

lugha ya asili ya Australia

Kikuku-Uwanh ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakuku katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 1981, kulikuwa na wasemaji wa Kikuku-Uwanh 40 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuku-Uwanh kiko katika kundi la Kipaman.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikuku-Uwanh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.