Kikuku-Yalanji
lugha ya asili ya Australia
Kikuku-Yalanji ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakuku katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikuku-Yalanji 360, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuku-Yalanji kiko katika kundi la Kiyalandyiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikuku-Yalanji kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikuku-Yalanji Archived 5 Aprili 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikuku-Yalanji katika Glottolog
- lugha ya Kikuku-Yalanji katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikuku-Yalanji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |