Kikulisusu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakulisusu kwenye kisiwa cha Buton. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kikulisusu imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikulisusu iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikulisusu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.