Kikumbainggar

lugha ya asili ya Australia

Kikumbainggar (au Kigumbaynggir) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakumbainggar katika jimbo la New South Wales. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikumbainggar 42 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikumbainggar kiko katika kundi la Kigumbaynggiriki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikumbainggar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.