Kikumbewaha ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakumbewaha kwenye visiwa vya Buton na Wangiwangi. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikumbewaha imehesabiwa kuwa watu 3400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikumbewaha iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikumbewaha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.