Kikungarakany ilikuwa lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakungarakany katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikungarakany ilitoweka. Msemaji wa mwisho akafariki mwaka wa 1989. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikungarakany kiko katika kundi lake lenyewe la Kikungarakany.

Eneo la Kikungarakany upande wa kaskazini wa Australia (kahawia)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikungarakany kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.