Kikunggari
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kikunggari kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakunggari katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikunggari ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikunggari kiko katika kundi la Kimariki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikunggari kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikunggari Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikunggari katika Glottolog
- lugha ya Kikunggari katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikunggari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |