Kikupia ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakupia. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikupia imehesabiwa kuwa watu 6600 ingawa kuna Wakupia 79,000, yaani wengi hawatumii lugha yao ya asili. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikupia iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikupia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.