Kikurux cha Nepali

Kikurux ya Nepal ni lugha ya Kidravidi nchini Nepal inayozungumzwa na Wakurux. Ni tofauti na lugha ya Kikurux inavyozungumzwa nchini Uhindi na Bangladesh. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikurux ya Nepal imehesabiwa kuwa watu 28,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikurux ya Nepal iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikurux cha Nepali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.