Kikuthant
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kikuthant kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakuthant katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikuthant, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuthant kiko katika kundi la Kipaman.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikuthant kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikuthant
- lugha ya Kikuthant katika Glottolog
- lugha ya Kikuthant katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikuthant kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |