Kikutu
Kikutu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakutu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikutu imehesabiwa kuwa watu 45,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikutu iko katika kundi la G30.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikutu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikutu Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikutu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kdc
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kikutu)
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikutu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |