Kilaal ni lugha nchini Chad inayozungumzwa na Walaal. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilaal imehesabiwa kuwa watu 750 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaal hakijaainishwa na kimeonekana kuwa lugha ya pekee bila familia ya lugha nyingine zilizobaki duniani.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilaal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.