Kilaha ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walaha kwenye kisiwa cha Ambon. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kilaha imehesabiwa kuwa watu 3890. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaha iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilaha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.