Open main menu

Ambon ni kisiwa cha Indonesia. Eneo la kisiwa ni 775 kmĀ². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Ambon vilevile. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 441,000.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ambon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.