Kilala-Bisa
Kilala-Bisa ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Walala-Bisa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kilala-Bisa imehesabiwa kuwa watu 580,000. Pia kuna wasemaji nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilala-Bisa iko katika kundi la M50.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilala kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilala Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilala katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/leb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilala-Bisa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |