Kilamet ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Uthai inayozungumzwa na Walamet. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kilamet nchini Laos imehesabiwa kuwa watu 19,800. Nchini Uthai kuna wasemaji 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamet iko katika kundi la Kipalaungiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilamet kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.