Kilamu-Lamu
Kilamu-Lamu (au Kilamalama) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Walamalama katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka wa 2006, idadi ya wasemaji wa Kilamu-Lamu ilikuwa watu 19 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamu-Lamu kiko katika kundi la Kilamalamiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilamu-Lamu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilamu-Lamu Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilamu-Lamu katika Glottolog
- lugha ya Kilamu-Lamu katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilamu-Lamu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |