Kilaragia
Kilaragiya (pia Kilaragia au Kilarrakia) ni lugha ya asili nchini Australia inayozungumzwa na Walaragiya katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006 idadi ya wasemaji wa Kilaragiya ilikuwa watu 23 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilaragiya hakilingani na lugha nyingine, ila labda Kiumbugarla.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilaragiya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilaragiya Archived 28 Desemba 2018 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilaragiya katika Glottolog
- lugha ya Kilaragiya katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilaragia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |