Kiumbugarla

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kiumbugarla kilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Waumbugarla katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiumbugarla, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiumbugarla hakilingani na lugha nyingine, ila labda Kingurmbur.

Eneo la kihistoria la Kiumbugarla (rangi ya kahawia)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiumbugarla kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.