Kilasalimu
Kilasalimu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walasalimu kwenye kisiwa cha Buton. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kilasalimu imehesabiwa kuwa watu 1700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilasalimu iko katika kundi la Kicelebiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilasalimu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilasalimu Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilasalimu katika Glottolog
- lugha ya Kilasalimu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilasalimu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |