Kilatu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walatu kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kilatu imehesabiwa kuwa watu 2130. Kwa vile Walatu wengi wameanza kuacha lugha yao, Kilatu iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilatu iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilatu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.