Kilele ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Walele. Isichanganywe na lugha ya Kilele nchini Chad. Mwaka wa 1971 idadi ya wasemaji wa Kilele imehesabiwa kuwa watu 26,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilele iko katika kundi la C90.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilele (Kongo) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.