Kilenje ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Walenje. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kilenje imehesabiwa kuwa watu 156,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilenje iko katika kundi la M60.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilenje kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.