Kiliki (pia Kimoar) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waliki kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiliki imehesabiwa kuwa wazee 11 tu, na tangu pale idadi imepungua tena, maana yake Kiliki imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiliki iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiliki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.