Kilisela
Kilisela (pia Kiburu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walisela kwenye visiwa vya Buru na Seram. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kilisela imehesabiwa kuwa watu 11,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilisela iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilisela kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilisela Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilisela katika Glottolog
- lugha ya Kilisela kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilisela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |