Kiloun
Kiloun ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Waloun kwenye kisiwa cha Seram. Hakuna Waloun siku hizi wanaoweza kuongea lugha ya Kiloun, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiloun iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiloun kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiloun Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiloun katika Glottolog
- lugha ya Kiloun kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiloun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |